MOI yafanya upasuaji wa ubongo uliokuwa nje December 06, 2017 Taasisi ya Mifupa (MOI) imefanikisha kufanya upasuaji mkubwa wa kurudisha ubongo wa mtoto wa miezi minne ndani ya kichwa baada ya mtoto huy...Read More
HOSPITALI YA AGA KHAN YABORESHWA ZAIDI KWA KUONGEZA TAWI JIPYA KATIKA WILAYA YA KIGAMBONI. December 01, 2017 Katibu tawala wa wilaya ya Kigamboni Rahel Muhando akikata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua huduma katika hospital hiyo mapema siku y...Read More
RC MAKONDA AWATOA HOFU WAGONJWA WOTE. November 24, 2017 TAARIFA NA GASPER PASCAL Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe:Paul Makonda,amewatembelea wagonjwa waliojitokeza kupewa matibabu ya bure katik...Read More
MUDA WA KUTOA MATIBABU BURE NDANI YA MELI YA KICHINA UMEONGEZWA . November 22, 2017 Kutokana na Idadi kubwa ya Wananchi waliojitokeza kwenye *Zoezi Upimaji na Matibabu Bure* ndani ya *Meli ya Jeshi la Jamuhuri ya China*, ...Read More
RC MAKONDA AFURAHISHWA NA KASI YA MATIBABU YA BURE NDANI YA MELI YA KICHINA ! November 21, 2017 Zoezi la Upimaji wa Afya na Matibabu Bure Ndani ya *Meli ya Jeshi la Jamuhuri ya Watu wa China* Leo limeingia Siku ya Pili ambapo Mkuu wa...Read More
WALEMAVU WA MIGUU WAWEZESHWA KUTEMBEA UPYA NA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MHE. PAUL MAKONDA November 17, 2017 TAARIFA NA GASPER PASCAL Hospitali ya *CCBRT* imeguswa na Kampeni ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam *Mheshimiwa PAUL MAKONDA* ya kutafut...Read More
MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAM MHE:PAUL MAKONDA AIPOKEA MELI KUBWA YENYE HOSPITALI NDANI NA MADAKTARI BIGWA KUTOKA CHINA! November 14, 2017 TAARIFA NA GASPER PASCAL Madaktari Bingwa Toka Nchi Ya China Wanatarajiwa Kuwasili Hapa Nchini Kupitia Bandari Ya Dar Es Salaam Kwa Ajil ...Read More
7,602 WAKUTWA NA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI October 16, 2017 Jumla ya wanawake 187,267 wamefanyiwa uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi huku 7,602 wakipatiwa matibabu katika mradi uliofadhiliwa...Read More
MUUGUZI WA SIKONGE LAWAMANI KWA UZEMBE ULIOSABABISHA KIFO CHA MTOTO MWAKA 2015 September 07, 2017 Na Tiganya Vincent Sikonge Muuguzi na walinzi katika Hospitali ya Wilaya ya Sikonge wanachunguzwa kwa kusababisha kifo cha mtoto wa Had...Read More
ZAHANATI YA VINGUNGUTI YAPANDISHWA HADHI, DIWANI KUMBILAMOTO AFUNGUKA September 05, 2017 Naibu Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Ilala ambaye pia Diwani wa Kata ya Vingunguti Omary Kumbilamoto ameeleza sababu zilizopelekea Zahan...Read More
MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YAPUNGUA NCHINI September 03, 2017 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt Suzan Kolimba (Mb) akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi M...Read More