WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAPEWA MAFUNZO YA UANDAAJI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO WA UTENDAJI KAZI WA TAASISI HIYO

Picha no. 1
Mkurugenzi Mtendaji wa  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)  Prof. Mohamed Janabi akizungumza na wafanyakazi wakati wa mafunzo ya kuandaa mpango mkakati wa utendaji kazi wa Taasisi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano.
Picha no. 2
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimfuatilia kwa makini mwenzeshaji kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe Prof. Andrew Mbwambo wakati wa mafunzo ya   kuandaa mpango mkakati  wa utendaji kazi wa Taasisi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano.
Picha no. 3
Wawezeshaji wa kuandaa  mpango mkakati  wa utendaji kazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kipindi cha miaka mitano kutoka Chuo Kikuu Cha Mzumbe wakimsililiza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi wakati akizungumza katika mafunzo hayo yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Picha no. 4
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimfuatilia kwa makini mwenzeshaji kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe Prof. AndrewMbwambo wakati wa mafunzo ya   kuandaa mpango mkakati  wa utendaji kazi wa Taasisi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano.