KATIBU MKUU UTUMISHI AKUTANA NA UONGOZI WA CHAMA CHA MADEREVA WA SERIKALI
Katibu Mkuu, Ofisi ya
Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro (mwenye tai)
katika picha ya pamoja na uongozi wa Chama cha Madereva wa Serikali
(CMSP) mara baada ya kujadili masuala mbalimbali ya kiutendaji ofisini
kwake mjini Dodoma leo.
Post a Comment