MHE. NDUGAI AHUDHURIA HAFLA YA KUAPISHWA RAIS WA IRAN
Mhe. Spika Job Ndugai akizungumza
na Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Jamii katika Bunge la Iran, Mhe
Dkt, Abdolreza Aziz,wakati alipotembelea Bungeni hapo kuhudhuria hafla
ya kuapishwa kwa Rais wa 12 wa Iran.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akiwasili Tehran kushiriki hafla ya kuapishwa kwa Rais wa 12 wa Iran
ambapo kwa mujibu wa Katiba ya nchi hiyo, Rais huapishwa Bungeni na
Spika.Mheshimiwa Spika yuko Tehran kwa mwaliko wa Spika wa Bunge la nchi
hiyo akiwawakilisha Maspika wa Afrika
Post a Comment