RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI WA MKOA WA KIGOMA
Rais
wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akipata maelezo ya ujenzi wa mradi mkubwa wa maji toka Ziwa Tanganyika
toka kwa mhandisi mshauri wa mradi huo ndugu Michael Mwamkinga

wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa
na Waziri Maji Mhandisi Gerson Lwenge, Mbunge wa Kigoma mjini Mhe.
Zitto Kabwe pamoja na viongozi wengine akiweka jiwe la msingi kuashiria
uzinduzi wa ujenzi wa mradi wa maji toka Ziwa Tanganyika
Maelfu ya waanchi wakimsikiliza Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Joseph Magufuli wakati akiwahutubia a katika Uwanja wa
Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Maelfu ya waanchi wakimsikiliza Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Joseph Magufuli wakati akiwahutubia a katika Uwanja wa
Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Rais
wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akihutubia Mamia ya Wananchi wa Mkoa wa Kigoma katika Uwanja wa Lake
Tanganyika mjini Kigoma.
Post a Comment