BRAKING NEWS: Mwili wa alie kuwa mke wa waziri kuagwa leo.

Bi. Linah George Mwakyembe.
Mwili wa aliyekuwa Mke wa Waziri wa habari, Utamadubi, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, Bi. Linah George Mwakyembe unatarajiwa kuagwa leo katika Kanisa la KKKT lililopo Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam kabla ya kusafirishwa kwenda wilayani Kyela mkoani Mbeya kwa ajili mazishi.