Mkuu wa wilaya ya Ilala Mhe:Sophia Mjema Atoa tamko la taadhari kwa Waza...

TAARIFA NA GASPER PASCAL
Mkuu wa wilaya ya Ilala Mhe:Sophia Mjema,Ameudhulia katika sherehe za Maulid Zilizofanyika leo tarehe 1.December 2017 Katika shule ya mshingi ya Muhimbili na kutoa nasaha kwa jamii nzima hasa Wazazi wanaishi bila kujua wototo wao wanafanya kazi gani,Wanaishi wapi na Kipato chao wanapata kwa njia zipi.

Pia amewataka wakina mama wote kuwa makini sana na familia zao na kuwahasa kuhakikisha wanataarifa za muhimu kuhusu familia yao kwani kuna mambo mengi yamekuwa yakiendelea kwa watoto,vijana hata watu wazima ikiwemo ukatili na ujambazi.
TAZAMA KATIKA VIDEO HAPA CHINI