Mke wa Kafulila atoa siri

Mbunge Jesca Kishoa ambaye ni mke wa Daudi Kafulia aliyejivua uanachama wa CHADEMA hapo jana, amesema sababu za mume wake kujivua sio alizozitaja, bali kuna zingine ambazo hajasema.
Jesca ambaye amesema hakuwa na taarifa za mume wake kujiuzulu uanachama mpaka alipofanya hivyo, ameeleza kwamba kitendo cha mume wake kusema anaondoka CHADEMA kwa sababu upinzani hawana nia ya kupambana na ufisadi ni uongo, na kumtaka awe mkweli.
TAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI