TCRA: Kwanini watanzania wana support matusi ya mitandaoni kwa Mh. Rais Dr John Magufuli?
Watanzania kupitia mitandao tofauti wanafurahia matusi ya Mange tena matusi mabaya sana dhidi ya Rais Dr Magufuli na TCRA mpo mnaangalia tu.
Kwanini tusijibishane HOJA kwa HOJA?
Kwanini tujibishane HOJA kwa MATUSI
TCRA kwanini Rais atukanwe na wanainchi wa support na nyie mpo tu?
Kazi ya TCRA ni nini?
Sheria ya cyber crime ni ya nini?
Kwanini watanzania wanafurahia hali hiyo?
Kwanini tusijibishane HOJA kwa HOJA?
Kwanini tujibishane HOJA kwa MATUSI
TCRA kwanini Rais atukanwe na wanainchi wa support na nyie mpo tu?
Kazi ya TCRA ni nini?
Sheria ya cyber crime ni ya nini?
Kwanini watanzania wanafurahia hali hiyo?
Post a Comment