Jeshi la polisi laonya waliopotosha taarifa ya askari wake wa Nairobi kwenye mitandao ya kijamii, watakiwa kuripoti
Jeshi la polisi kupitia msemaji wake leo limetoa ufafanuzi kwa vyombo vya habari kuhusu askari wake alienda kwenye mafunzo mjini Nairobi na kusema kulinga na muda alioenda si raihi kuwa alikwenda kwa ajili ya madai yaliyopo mtandaoni.
Jeshi la polisi limewaonya vikali waliozusha taarifa hiyo na kuwataka waripoti kituo cha polisi pia limetoa onyo kali wa wachangiaji wa mambo yasiyopaswa kuchangia.
Jeshi la polisi limewaonya vikali waliozusha taarifa hiyo na kuwataka waripoti kituo cha polisi pia limetoa onyo kali wa wachangiaji wa mambo yasiyopaswa kuchangia.
Post a Comment