RC MAKONDA AFANIKISHA UPATIKANAJI VITENDEA K AZI POLISI KANDA MAALU YA DAR ES SALAAM



Mwambawahabari
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda leo amekabidhi Pikipiki Pikipiki 10, kwa Jeshi la polisi Kanda maalum ya Dar es salaam kwaajili ya kuimarisha usalama katika Jiji la Dar es salaam, Computer 20, na Baiskeli 200.


Akizungumza katika hafla  hiyo Mhe. Paul Makonda amesema yeye kama mkuu wa Kamati ya ulinzi na usalama  ya Mkoa huo ameamua  kusaidia Jeshi hilo   baada ya kuona Askari wanashambuliwa na waharifu mfano tukio lililo tokea Mbagala ambapo Askari wanne walikuwa wa na wahari katika tukio la uporaji .

Amewataka Askari  hao kutoka kata tamaa katika kazi yao bali waendelee kuwa Linda watanzania.
Aidha amewaahidi askari hao kuwapa viwanja kwa bei nafuu ambapo amezungumza na kampuni ya viwanja kuwauzia askari kiwanja kwa 5000 kwa kila mita za eneo badala ya bei hali si ya shilingi 15000.

"haiwezekani askari wanafanya kazi nzuri namna hii ya kulinda raia halafu hawana Makazi bora nimeona nifanye hivyo kuwapatia hivyo viwanja kwa gharama nafuu nimeshazunguza na a naye viuza  malipa kidogo kidogo kwa muda wa miaka mitano." alisema Makonda.

Naye Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam, Mambo sasa ameruhusiwa mshukuru RC Makonda kwa msaada huo  nakusema kuwa Jeshi hilo bado linaouhitaji mkubwa wa vitendea kazi nakumuomba tena ikiwa atapata wadau aendelee kusaidia.

Kwa upande wake mkuu wa kitengo cha lasilimali watu wa Jeshi hilo Kanda Maalumu ya Dar es salaam Benedict Kitarika amemshukuru mkuu wa mkoa huo na kuahidi kuvitunza vifaa hivyo na kwa matumizi yaliyokusudiwa.

Hata hivyo mkurugenzi wa kampuni ya Tongba ya nchini China Bwana Xue Chang amesema wataendelea kusaidia serikali ya Tanzania hususani Jeshi la Polisi katika  kuwapatia vifaa ili kupambana na uharifu, na wanatarajia kujenga kiwanda cha kuunganisha Pikipiki hapa nchi.