Rais Magufuli ateua Jaji Mkuu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 12 Agosti 2017 amefanya uteuzi na kumteua Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania.


Uteuzi huu unaanza leo tarehe 10 Septemba, 2017.