WAHALIFU 13 WAUAWA NA POLISI KIBITI
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro akipata maelezo kutoka kwa
Mkuu wa Operesheni Maalumu za Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi
(DCP) Liberatus Sabas kuhusiana na tukio la kuuawa wahalifu 13 katika
majibizano ya risasi baina ya Polisi na wahalifu hao katika eneo la
Tangibovu, Kijiji cha Miwaleni Kata ya Mchukwi, Tarafaya Kibiti.Chini ni
silaha 8 aina ya SMG pamoja na vifaa vingine zilizopatikana katika
majibizano hayo.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro akionesha makasha ya
risasi(magazine) ambazo ni miongoni mwa makasha 8 yaliyokuwa ya kitumiwa
na wahalifu katika eneo la Tangibovu, Kijiji cha Miwaleni Kata ya
Mchukwi, Tarafa ya Kibiti. Wa kwanza kushoto ni Kamishina wa Polisi
Jamii (CP) MussaAlli Musa akifuatiwa na Mkuu wa Operesheni Maalumu za
Jeshi la Polisi,Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Liberatus Sabas. Katikat
ukio hilo Jeshi la Polisi limefanikiwa kuwaua wahalifu 13 ambao walikuwa
wakifanya mauaji Kibiti.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro akielezea baadhi ya vitu
mbalimbali vilivyokuwa vikitumiwa na wahalifu 13 walioua wakatika eneo
la Tangi bovu, Kijiji cha Miwaleni Kata ya Mchukwi, Tarafa ya Kibiti
ambapo jumla ya silaha 8 ainaya SMG, risasi 158,pikipiki 2, pamoja na
begi la nguo vilivyokuwa vikitumiwa na wahalifu hao. Kushoto ni
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya jinai (CP) Robert Boaz
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro akionesha silaha aina ya SMG
ambayo ni miongoni mwa silaha 8 zilizokuwa zikitumiwa na wahalifu 13
walioua wakatika majibizano ya risasi baina yao na Jeshi la Polisi
katika eneo laTangi bovu, Kijiji cha Miwaleni Kata ya Mchukwi, Tarafa ya
Kibiti.Wa kwanza kulia ni Kamishina wa Polisi Jamii (CP) Mussa Alli
Musa akifuatiwa na Mkuu wa Operesheni Maalumu za Jeshi la Polisi,Naibu
Kamishna wa Polisi (DCP) Liberatus Sabas.–
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro akiongea na wananchi wa
Kijiji cha Miwaleni Kata ya Mchukwi, Tarafa ya Kibiti alipokuwa akitoka
kukagua eneo la tukio walipouawa wahalifu 13 katika majibizano ya risasi
baina yao na Jeshi la Polisi katika eneo la Tangi bovu. –
Picha na Jeshi La Polisi
Post a Comment