Kwa mara ya kwanza Ruge afunguka sakata la kupatanishwa na RC Makonda


Kuna taarifa nyingi za uongo na za kupotosha zinasosambazwa kwen
ye  mitandao ya jamii na vyombo vya habari zikisemekana kwamba zimetolewa na Mimi.
 
Naomba nikanushe.

Baada ya tukio la Jumamosi, sijaongea na chombo chochote cha habari na wala kutoa 'statement' yeyote kuhusiana na tukio hilo la kuitwa Jukwaani na Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli. Ndio nimerudi kutoka Tanga Leo, muda muafaka utafika wa kuzungumzia jambo hilo kwa kirefu.

Ruge Mutahaba.