WAZIRI MWIGULU AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA

KISIGINO HABARI



PIX 1a
Waziri wa Wizara ya  Mambo ya Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba, akizungumza na Naibu Balozi wa Marekani nchini,Dk. Inmi Patterson na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Siasa na Uchumi wa Ubalozi huo, Marilyn Gayton(kulia), walipomtembelea ofisini kwake  kujadili masuala mbalimbali ya Ulinzi na Usalama,jijini Dar es Salaam leo.Kushoto  ni Katibu wa Waziri,Nelson Kaminyoge. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
PIX 1b
Naibu Balozi wa Marekani nchini, Dk. Inmi Patterson, akizungumza na  Waziri wa Wizara ya  Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, alipomtembelea Waziri huyo   kujadili Masuala ya Ulinzi na Usalama, jijini Dar es Salaam leo.Kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Siasa na Uchumi wa Ubalozi huo,Marilyn Gayton na kushoto ni Katibu wa Waziri,Nelson Kaminyoge. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
PIX 2
Waziri wa  Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba, akimsikiliza  Naibu Balozi wa Marekani nchini, Dk. Inmi Patterson(kulia) alipomtembelea ofisini kwake  kujadili Masuala  ya Ulinzi na Usalama, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
PIX 3 PIX 4
Waziri wa  Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba, akiwa katika picha ya pamoja  na Naibu Balozi wa Marekani nchini, Dk. Inmi Patterson(kulia), baada ya kumaliza mazungumzo yaliyohusu  Masuala ya Ulinzi na Usalama.Kikao hicho kimefanyika leo jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi<!-- Go to www.addthis.com/dashboard to customize your tools -->
<script type="text/javascript" src="//s7.addthis.com/js/300/addthis_widget.js#pubid=ra-5968dedf011badd4"></script>