MHE. MKUCHIKA AWATAKA WATUMISHI WA OFISI YAKE KUEPUKA RUSHWA, KUZINGATIA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA UTUMISHI WA UMMA.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika akipokewa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya ofisi yake mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika akisalimiana na watumishi wa ofisi yake, mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya ofisi yake mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika akizungumza na watumishi wa ofisi yake, mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya ofisi yake mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Mtenejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika akisaini kitabu cha wageni ofisini kwake, mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya ofisi yake mjini Dodoma