Ndugai: Nina uwezo wa kumzuia Zitto asiongee bungeni maisha yake yote ya ubunge na asifanye chochote


Spika, Ndugai amesema anao uwezo wa kumzuaia Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kutozungumza Bungeni chochote miaka yote ya Bunge.