Mwanasheria Mkuu wa Serikali Kuwajibishwa
MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AMEAIBISHA, AWAJIBISHWE
Hamidu Bobali, mbunge wa jimbo la mchinga aeleza masikitiko yake kwa mwanasheria mkuu wa serikali kwa kuwa miezi miwili iliyopita alipeleka mswada bungeni na kaurudia kuuleta tena bungeni sasa. Pia amelalamika kuwa analeta sheria ambazo zinapingana na sheria zengine, kwahiyo anasisitiza awajibishwe kama mawaziri wengine wanaowajibishwa.
Post a Comment