MAKAMU WA RAIS MHE.SAMIA AFUNGA MAONESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia mkaa
ulotengenezwa kutokana na makaratasi yaliotumika wakati alipotembelea
banda la Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea wakati wa kilele cha
sherehe ya maadhimisho ya 24 ya sikukuu ya Wakulima (Nane Nane) mkoani
Lindi
Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi
Mhandisi Charles Tizeba akimuonesha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ubanguaji wa korosho
wakati wa kilele cha sherehe ya maadhimisho ya 24 ya sikukuu ya Wakulima
(Nane Nane) mkoani Lindi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo juu ya
magonjwa na wadudu wanaoshambulia mikorosho na namna ya kutibu mimea
kutoka kwa Mtafiti kiongozi wa Zao la Korosho wa Taasisi ya utafiti wa
Kilimo Nahendele Bw.Fortunus Kapinga wakati wa kilele cha sherehe ya
maadhimisho ya 24 ya sikukuu ya Wakulima (Nane Nane) mkoani Lindi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kushoto) akiwa pamoja na
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Halima Ndendegu na Mkwe wa Rais Mstaafu wa
Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete (MB) wakiangalia ufugaji wa samaki wa
kwenye matenki unaofanywa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wakati wa
kilele cha sherehe ya maadhimisho ya 24 ya sikukuu ya Wakulima (Nane
Nane) mkoani Lind
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia karoti wakati
alipotembelea na kujionea shughuli za kilimo cha mboga mboga
zinazofanywa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wakati wa kilele cha
sherehe ya maadhimisho ya 24 ya sikukuu ya Wakulima (Nane Nane) mkoani
Lindi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye kilele
cha sherehe ya maadhimisho ya 24 ya sikukuu ya Wakulima (Nane Nane)
mkoani Lindi.
Sehemu ya wananchi waliohudhuria.
Post a Comment