WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALIPOKUTANA NA MWALIMU WAKE WA SEKONDARI.

Waziri mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na mwalimu wake,Agrias Sichome ambaye alifundisha katika shule sekondari ya kigonsera mwaka 1977 hadi 1980.Alikuwa katika kikao cha kuhitimisha ziara yake mkoani songwe kwenye ukumbi wa shule ya sekondari ya sunrise mkoani humo july 24,2017.Kulia kwake ni mkuu wa mkoa wa songwe,Chiku Galawa.